TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, February 28, 2013

HII NDIO BIRTHDAY YA KINYAMA YENYE REDCAPERT@LEADERS CLUB LEO

Mwanadada ladynaa a.k.a mutoto mulito leo anasheherekea birthday yake ya kinyama yenye redcarpert leaders club kuanzia saa moja jioni mpaka mida ya sita usiku baada ya hapo after party NEW MAISHA CLUB.kwenye birthday hiyo ambayo MC benny kinyaiyas,dj kim na burudani kutoka kwa wasanii wa bongo fleva itakuwa ni yaklipkee kabisa na yenye bia zakusaza na mavyakula yakufamtu. HONGERA MUTOTO MLITO LADNAAA.

Wednesday, February 27, 2013

T.I.D,MAGWEAR WAKUTANA MARA 5 KWENYE KORABO TOFAUTI

Wasanii wawili wagogwe tanzania khalid mohamed T.I.D na ALBERT MAGWEAR wamekuwa wakishirikiana mara kwa mara katika nyimbo zao na zote uhit na kuwa nyimbo kubwa kutokana na uwezo wao wakuimba kwa wasanii hao.akiongea na x deejayz T.I.D asubuhi Hii baaba yakuona wimbo mpya wa magwear akimshirikisha t.i.d. TOP IN DAR alisema tuna nyimbo nyingi sana ambazo tumeshirikiana na magwear ambazo tumezitoa mpaka sasa hivi kama 5 lakini zipo zingine ambazo bado hazitoka na zote kali alizitaja nyimbo ambazo zimeshatoka ni SHE PERFOMR - GWEAR FT T,ID, KIUNO - T.ID FT GWEAR, A.K.A MIMI MAGWEAR FT T.I.D na huu tuliotoa leo wa magwear wa NO BEEF magwear ft t.i.d. xdeejayz ikataka kujua kwanini kila siku mnashirikiana hamuoni kama watu wanaweza kuzichoka korabo zenu T.I.D akajibu kwa kusema sie ni tam kubwa kama yanga na simba haziwezwi kuchokwa na wapenzi wake na milele zitabaki juu. tunaekewana sana ndio mana milele tupo pamoja.

sikiliza au dowload wimbo mpya wa magwar ft t.i.d unaoitwa beef hapa

Q CHILLAH AINGIA NA KITANDA CHA SITA KWA SITA KWENYE STAGE@NEW MAISHA CLUB

 Msanii mkuongwe wa bongo fleva  q chilla ameingia kwenye stage na style yakipekee kabisa new maisha club jumapili iliyopita wakati wa show yake ya CHILLAH IS BACK hakuna alietegemea kitu ambacho q chilla angekifanya mwisho wa siku yowe na shagwe zilianguka kwa ukumbi wa maraha wa maisha club kusha ngilia kumuonna q chillah akionekana juuu ya kitanda cha sita kwa sita kwnye ukumbi wa new maisha club . kiukweli ilikuwa raha sana show ilikuwa kali na ni kweli q chillah is bach meeeeen.













MJADALA WA USHOGA WAIPONZA "CLOUDS FM"....TCRA YANYOOSHA MAKUCHA NA KUVIFUNGA VITUO VIWILI VYA REDIO

 

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.


Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.

Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.

Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili

XTREME PICTURE OF THE DAY

The late STEVEN KANUMBA

SAFARI YA MWISHO YA GOLDIE KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE







Tuesday, February 26, 2013

MIPANGO YAKUMTEKA WEMA SEPETU YAJULIKANA

Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame", iliyoko maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim akitahadharishwa na msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa wanamzungumzia kwa kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika moja ya baa zilizoko Sinza inayopitwa Shkamoo pesa bar "ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui how well am prepared......." wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wema source na gumzo la jiji

HAKUNA HAJUAE KESHO - PICHA ZA ENZI ZA MWALIMU


 










Guys mie kazi yangu ilikuwa kutafuta picha nimewawekea, sina cha kuongea wala cha kuongeza, watu na mashoga zao mjini
KUNA TATIZO KWANI??
KWANI SH' NGAPI???( in Kenzo's voice)

PICHA BY ZEDILICIOUS

PICHA SABA KALI ZA BIKINI ZA MWANADADA AISHWARYA RAI SUPERSTAR WA FILAMU ZA KIHINDI








KESI YA KAJALA YASOGEZWA MBELE

 Leo ndio ilikuwa itoke hukumu ya kesi ya mwadada mwenye jina kubwa tanzania mama mwenye mtoto mmoja,msanii wa bongo movies tanzania kajala masanja,hukumu hiyo imehairishwa mpaka tarehe 25 mwenzi wa tatu,akiongea na kachero wetu kwa njia ya simu mmoja wa marafiki wa karibu aliekuwepo kwenye kesi hiyo mahakamani leo amesema kutokana na kutokuwepo kwa baadhi ya wahusika katika kesi hiyo inamladhimu hakimu kuhairisha kesi hiyo mpaka tar 25 mwenzi wa 3. blog hii inamuombea kajala masanja kila la heri hili aweze kushinda kesi hiyo

kajala masanja

XTREME PICTURE OF THE DAY

TRUE LOVE NEVER END