Pages
▼
Thursday, February 28, 2013
HII NDIO BIRTHDAY YA KINYAMA YENYE REDCAPERT@LEADERS CLUB LEO
Mwanadada ladynaa a.k.a mutoto mulito leo anasheherekea birthday yake ya kinyama yenye redcarpert leaders club kuanzia saa moja jioni mpaka mida ya sita usiku baada ya hapo after party NEW MAISHA CLUB.kwenye birthday hiyo ambayo MC benny kinyaiyas,dj kim na burudani kutoka kwa wasanii wa bongo fleva itakuwa ni yaklipkee kabisa na yenye bia zakusaza na mavyakula yakufamtu. HONGERA MUTOTO MLITO LADNAAA.
Wednesday, February 27, 2013
T.I.D,MAGWEAR WAKUTANA MARA 5 KWENYE KORABO TOFAUTI
Wasanii wawili wagogwe tanzania khalid mohamed T.I.D na ALBERT MAGWEAR wamekuwa wakishirikiana mara kwa mara katika nyimbo zao na zote uhit na kuwa nyimbo kubwa kutokana na uwezo wao wakuimba kwa wasanii hao.akiongea na x deejayz T.I.D asubuhi Hii baaba yakuona wimbo mpya wa magwear akimshirikisha t.i.d. TOP IN DAR alisema tuna nyimbo nyingi sana ambazo tumeshirikiana na magwear ambazo tumezitoa mpaka sasa hivi kama 5 lakini zipo zingine ambazo bado hazitoka na zote kali alizitaja nyimbo ambazo zimeshatoka ni SHE PERFOMR - GWEAR FT T,ID, KIUNO - T.ID FT GWEAR, A.K.A MIMI MAGWEAR FT T.I.D na huu tuliotoa leo wa magwear wa NO BEEF magwear ft t.i.d. xdeejayz ikataka kujua kwanini kila siku mnashirikiana hamuoni kama watu wanaweza kuzichoka korabo zenu T.I.D akajibu kwa kusema sie ni tam kubwa kama yanga na simba haziwezwi kuchokwa na wapenzi wake na milele zitabaki juu. tunaekewana sana ndio mana milele tupo pamoja.
sikiliza au dowload wimbo mpya wa magwar ft t.i.d unaoitwa beef hapa
Q CHILLAH AINGIA NA KITANDA CHA SITA KWA SITA KWENYE STAGE@NEW MAISHA CLUB
Msanii mkuongwe wa bongo fleva q chilla ameingia kwenye stage na style yakipekee kabisa new maisha club jumapili iliyopita wakati wa show yake ya CHILLAH IS BACK hakuna alietegemea kitu ambacho q chilla angekifanya mwisho wa siku yowe na shagwe zilianguka kwa ukumbi wa maraha wa maisha club kusha ngilia kumuonna q chillah akionekana juuu ya kitanda cha sita kwa sita kwnye ukumbi wa new maisha club . kiukweli ilikuwa raha sana show ilikuwa kali na ni kweli q chillah is bach meeeeen.
MJADALA WA USHOGA WAIPONZA "CLOUDS FM"....TCRA YANYOOSHA MAKUCHA NA KUVIFUNGA VITUO VIWILI VYA REDIO
![]() |
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia
kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio
viwili nchini kwa kukiuka maadili ya
utangazaji.
|