TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, October 31, 2012

YALIOJILI KWENYE UZINDUZI WA MOVIE MPYA YA JAMES BOND - SKY FALL 007

Mc wa heineken premium beer EVANCE BUKUKU,mfanyakazi wa heineken MOHANA na  bond gal wa heineken NEY NAI NAI wakikabidhi zawadi kwa wateja wa heineken waliojishindia nafasi ya kulala hotel ya HAYAT wiki nzima kwenye bahati nasibu iliyochezeshwa siku hiyo ya premier of SKY FALL007 iliyofanyika katika ukumbi wa mliman city.alhamis ya wiki iliyopita

Trade partiners wa HEINEKEN QUALITY BEER wakifurahia their life experience kwenye uzinduzi huo.

Huu ndio ukumbi uliofanyika uzinduzi huo wa SKY FALL 007

Ukumbi ulipambwa na magari ya kifahari duniani yaliyotumika kwenye movie hiyo ya JAMES BOND SKY FALL

MR UCHE ambaye ni COUNTRY  MANAGER wa  HEINEKEN

FEZA KESI mmoja wa waalikwa kwenye uzinduzi huo

CONSUMERS


CONSUMERS wa HEINEKEN PREMIUM BEER

PREMIUM CONSUMERS kwenye PREMIUM EVENT

Wateja wa heineken wakijipatia heineken kwenye bar ya heineken

 

Bar ya heineken

Ukishika bia ya heineken kiukweli inapendeza sana mkononi kama unavyoona wateja wa heineken hapo kwenye picha wanavyopendeza za bia zao mikononi.

PREMIUM VENUE FOR PREMIUM PEOPLE

Moja kati ya masuperstar wa tanzania abwene yesaya AY akifurahia bia yake ya HEINEKEN kwenye uzinduzi wa SKY FALL. 


 

THE VENUE 

BOB JUNIOR APONDA NGOMA MPYA YA DIAMOND.




Rais wa Mashorobaro.


Nyota wa ngoma ya mawazo ambaye pia ni bosi wa lebo ya Sharobaro Record, ya jijini Dar, Bob Junior amesema sasa yuko tayari kusimama kwenye ngoma moja na mkali kutoka Wasafi Entertainments, Diamond Platinumz.

Akizungumza na xdeejayz, mapema leo Bob Junior amesema licha ya kuwa aliwasili jana jioni kutoka Oman alikokuwa kwa mapumziko na amepata bahati ya kuisikiliza ngoma mpya ya Diamond na kuona kuwa ni ya kawaida kwani haina kitu kipya ilichofanyiwa.

Diamond.

"Unajua kwa sasa mimi nimewapisha vijana wangu kwanza watoe ngoma zao na baada ya wiki mbili nitatoa ya kwangu, ninachoweza kusema ni kuwa sasa niko tayari kusimama kwenye wimbo mmoja na dogo huyo kwani naamini mimi ni mkali zaidi yake na Watanzania wanajua hilo" alisema Bob.

Akiendelea zaidi Bob aliyeitikisa Bongo kwa ngoma kali ya Oyoyo alifunguka kuwa, sasa ana mipango ya kufanya vitu tofauti vitavyosukuma mbele muziki wa kizazi kipya na zaidi akilenga katika kujiongezea mapato tofauti na kutegemea MKWANJA WA shoo au promo za matangazo.

MOVIE MPYA YA JAMES BOND SKY FALL 007 YAZINDULIWA DAR

Kampuni ya heineken ya tanzania imedhamini movie mpya ya JAMES BOND inayokwenda kwa jina la SKY FALL. movie hiyo iliyohudhuliwa na masuperstar kibao wa bongo,uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa mlimani city mjini dar es salaam watu walionekana kuikubali sana filamu hiyo kwa asilimia mia moja. ni bonge moja la fimovie ambalo pia lina misamihati kibao ambayo inaongelewa humo ndani, alisema mpenzi wa movie tanzania ifrahim kibonde.








Tuesday, October 30, 2012

BINADAMU ANAEONGOZA KUJAMBA USHUZI WA MOTO DUNIANI!

Wanawake aliwahi kuwaoa walimkibia baada ya kuwaunguza vibaya,Yadaiwa hatishii kujamba akifanya hivyo ni balaa,Atengwa na ndugu,marafiki.Aishi baharini peke yake.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja nchini Ungereza aliyefahamikamika kwa jina la Girbeth Stig "27" amejikuta akiiishi peke yake katika bahari kufuatia kutengwa na ndugu pamoja na marafiki.
Habari za uhakika toka kwenye mtandao mmoj nchini humo zinasema kuwa kijana huyo toka anaetokea katika mji wa Pease Pottage uliyopo nje kidogo ya jiji la London amekuwa katika wakati mgumu kutokana na matukio ya kujamba moto hali inayopelekea kuogopwa kama ukoma.

Habari zaidi zilisema kuwa kijana huyo amekuwa na tatizo hilo tangu akiwa na umri wa miaka tano ambapo familia yake imekuwa ikijitahidi kufanya jitihada za kumpatia matibabu lakini cha kushangaza ni kwamba amekuwa hataki kutibiwa akidai anataka kuachwa hivyo hivyo ili aingine kwenye vitabu vya kumbukumbu.

Kijana huyo inadaiwa aliwahu kuoa wanawake kadhaa lakini baadae walimkimbia kufuatia wanawake hao kuunguzwa vibaya.Na mbaya zaidi mwanaume huyo kipindi akiwa amekasirika akijaribu kujamba tu basi moto mkubwa hutokea katika sehemu zake za haja kubwa hadi kuwauunguza wanawake hao.



k

UKISTAAJABU YA MUSSA UTAYAONA YA FILAUNI! MBWA WA AJABU AZALIWA, ANA MIGUU ISHIRINI HARAFU ANATOA SAUTI KAMA YA BINADAMU!

 *Watumishi wa Mungu wasema huu sasa ni mwisho wa Dunia,Binadamu watakiwa kuwa katika maombi muda wote,Ili kujinusuru na moto!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua watu wakazi wa mji wa Faridabad Mashariki mwa India wameshtusha na tukio la kihistori la mbwa wa ajabu kuzaliwa akiwa na miguu ishirini huku akitoa sauti kama binadamu pindi anapotaka mahitaji
.
Habari juu ya tukio hilo zilisambazwa kwenye mtandao mmoja wa jamii nchini humo huku kila mtu akishindwa kuamini tukio hilo.
Mmiliki wa Mbwa huyo mwenye miezi sita tangu azaliwe aliyejitambulisha kwa jina moja la Charkhi alisema kuwa mama wa mtoto huyo wa mbwa ana miguu minne kama kawaida lakini cha kungaza mtoto huyo alipozaliwa alikuwa na uzani wa kilo kumi na tano huku akiwa na urefu wa futi tatu na nusu.
Aidha bwana Charkhi aliongeza kusema kuwa baada ya kuzaliwa mtoto huyo wa mbwa aliogopa sana na akashauriana na mkewe wakakitupe kitoto hicho,Lakini baadae walikubari kisitupwe tu ndipo walioiishi nacho hadi leo.
Katika hatua nyingine mbwa huyo ambae kwa sasa anakaribia futi kumi huku akiwa na uzito wa kilo mia hamsini amekuwa akitoa sauti kama za binadamu pindi anaposikia kiu au njaa, Hali inayowalazimu watumishi wa Mungu kuwasihi binadamu kukaa katika maombi muda wote kwa vile maajabu kama haya yanaashiria mwisho wa dunia.


HOMA YA UZINDUZI WA DTV DODOMA YAANZA KUWAUMIZA VICHWA MASHABIKI WA MJI HUO!

Maelfu ya wakazi wa mji wa Dodoma kama wanavyoonekana katika viwanja vya Jamhuri!

Ikiwa siku zinahesabika kabla ya kufanyika lile tamasha kubwa linalosubiriwa kwa hamu na maelfu ya wakazi wa Mji wa Dodoma na vitongoji vyake Tarehe 3/11/2012 wakazi hao wameanza kupandwa na kimuhemuhe huku wakitamani siku zikimbie kama upepo ili lifanyike.
Wakiongea na mapaparazi wetu wakazi hao walisema kuwa wanaona kama siku haziendi vile ili kufikia tarehe tatu"Jamani mbona kama siku zinachelewa? Tunasubiri kwa hamu onesho hilo kwani licha ya wasanii wote wanakuja huju ni wazuri pia DTV ni Channel yetu vijana hivyo tutashiriki pamoja uwanjani" Alisema mwandada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Faudhia.

Hata hivyo wanafunzi mbalimbali toka Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM walisema kuwa" DTV wanatisha jamani tunasubiri Wakati wako Tour na sisi ili tu-"enjoy" Aidha katika hatua nyingine wakazi hao wameapa kufunika nyomi za shoo za zilizofanyika Jijini Dar es Salaam kwa kujitokeza kwa wingi huku.
Aidha meneja wa tamsha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Entertainment Masterz Ltd Hemed Kavu 'HK'Aliiambia kona hii kuwa maandalizi yote yamekamilika kinachosubiriwa ni siku ya ishu tu" Kimsingi maandalizi yote yanaenda kama yalivyopangwa vijana wetu wa kujenga steji wameshaondoka tangu jana huku timu ya wanamuziki nao wakiondoka kesho" Alisema HK.

NGOMA YA "KAMA NANI" KUMREJESHA KWENYE CHATI LUTEN KARAMA!


Mwanamuziki maarufu aliywahi kutamba kipindi cha nyuma akiwa ndani ya kundi la TMK Famili Karama Beker a.k.a Luten Karama huenda akarudi kwenye kiwango cha juu kwenye muziki baada ya wimbo wake mpya ujilikanao kwa jina la "Kama Nani" kuanza kusumbua kila kona ya Jijini.

Akiongea na paparazi wa Xdeejayz Karama alisema kuwa"Kaka nimerudi kwa nguvu na hii kwa kutokana na kupata mtu wa kuniongoza na kuniwezesha kwa kila jambo kuhusu muziki" Alisema mwanamuziki huyo

Aidha mwanamuziki huyo alielezea marengo yake kwa sasa"Nimeungana na mwanamuziki mwenzangu  Malipo ambapo bila shaka mashabiki wangu wanaujuwa uwezo wa Malipo hivyo tunatarajia kufanya mageuzi makubwa kwenye Indastri ya muziki wa kizazi kipya" Alimaliza kusema Luten

Hata hivyo paparazi wetu alibahatika kuongea na meneja wa Karama pamoja na Malipo aliyejitambulisha kwa jina la Zainabu Mfangavo alisema kuwa" Kwa mara ya kwanza hawa wanamuziki walifika sehemu ya biashara zangu huko maeneo ya Kinyrezi na wakanambia kama naweza kufanya nao kazi ambapo nilikubari kwani kabla  nilikuwa nawafahamu kama wanamuziki wazuri lakini kwa sasa kweli nimewashikiria mimi na natarajia kufany nao mambo makubwa tu kuhusu sanaa" Alisema Meneja huyo 

Sunday, October 28, 2012

WAHESHIMWA WABUNGE KUTIKISHA KWENYE UZINDUZI WA DTV DODOMA NOV.3 KWENYE UWANJA WA JAMHURI!

 MH. HEMED SHABIBY
 MH. ZITTO KABWE
MH. JOSEPH MBILINYI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mji wa Dodoma na vitongozi vyake siku ya tarehe 3/11/2012 Waheshimiwa wabunge mbalimbali wanatarajia kuhudhuria uzinduzi wa kituo cha televisheni cha DTV kwenye tamasha kubwa lililopewa jina la "NI WAKATI WAKO TOUR"
Akiongea na Xdeejayz meneja wa tamasha hilo Hemed Kavu "HK" A lisema kuwa" Tunamapango wa kuwaalika waheshimiwa wetu  Wabunge katika uzinduzi huo utakaokuwa wa kihistori ndani ya Dodoma hivyo tunaendelea kufanya michakato hiyo" Alisema HK

Aidha Meneja huyo aliongeza kusema kuwa kwani nini wameamua kuwaalika wabunge hao" Tarehe ambayo tutafanya uzinduzi huo Waheshimiwa Wabunge watakuwa mjini Dodoma kwenye vikao vya Bunge na tarehe hiyo watakuwa wamepunzika hivyo tutakuwa nao kufurahi na wananchi wao" Alisema Meneja huyo.

Uzinduzi huo wa DTV unatarajia kuvunja rekodi ya matamasha yote yaliwahi kufanyka Mkoani humo hiyo inatokana na rundo la wanamuziki walioandaliwa kutoa burudani katika uzinduzi huo utakaofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri na unatarajia kuanza saa sita mchana hadi saa kumi na moja jioni.

MAUAJI YA KUTISHA SIKUKUU YA IDD!



Mke amchoma kisu cha kifuani mumewe hadi kufa,Yadaiwa chanzo ni mapenzi kinyume cha maumbile !

Wakazi wa Kinondoni Mkwajuni Jijini Dar Es Salaam wamshitushwa na tukio la kusikitisha na mauaji ya kinyama yaliyotokea maeneo hayo ya kijana wao aliyefahamika kwa jina la Seleman Ramadhan baada ya kuchomwa kisu na mkewe.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea sikuuu ya Idd usiku wa saa saba,Aambapo chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi pamoja na  mapenzi kinyume cha maumbile .

Wakiongea na  mapaparazi wa Xdeejayz wakazi wa maeneo hayo walisema kuwa tukio hilo limewashtua sana lakini pamoja na yote kuna uzembe ulitokea wa kuchukuwa tahadhari kabla ya mauji hayo kufanyika.

Wakazi hao waliongeza kusema kabla ya tukio hilo mwanamke huyo alikuwa ametoa taarifa kwa baba wa mumewe anaeishi maeneo ya Magomeni Moroco  aliyefahamika kwa jina la Ramdhani kuwa hamtaki mwanae asimfate fate la sivyo atamchoma kisu" Yani ni kweli kwamba huyo mwanamke alifika nyumbani kwa mkwe na kuwaeleza kuwa hamtaki mtoto wao hivyo siku hiyo asimfatilie la sivyo atafanya mauaji ya kutisha kwa kumchoma moto"  Walisema wakazi hao na kuomba hifadhi ya majina yao

Hata hivyo ipofika saa saba usiku mwanamke huyo ambae hakufahamika jina lake alifika tena nyumbani kwa mkwewe akiwa amelowa damu na kumueleza baba mkwe wake kuwa kazi aliyokuwa amemwambia amemaliza hivyo akachukuwa maiti yake, Kutokana na mwanamke huyo kulowa damu mwili mzima wanafamilia hao walikwenda mbio na kumkuta mtoto wao akiwa ameshapoteza maisha.
Aidha mapaparazi wetu walimtafuta Kamanda wa Polisi Kanda ya Kinondoni Charles Kenyela ili aelezee tukio hilo ambapo hakuweza kupatikana hewana hata hivyo Xdeejayz inahidi kufatilia sakata hilo na baadae itawajulisha wasomaji wetu.

Saturday, October 27, 2012

YALIOJILI KWENYE KITCHEN PARTY YA ANT EZEKIEL















MAMBO HAYA TENA BASI KUANZIA SASA MIMI NI MKE WA MTU - ANT EZEKIER

 Mmmmm

 Ant kwenye pozi

 Ant akiwa mzigoni

 Ant akiwa kwenye pozi la kochi


 Ant akipagawishwa na steve nyerere

 Ant akiwa na the late kanumba

 Hapa akiwa kwenye kitchen party yake iliypfanyika mliman city hivi karibuni na mashost zake.kushoto ni rukia wa ruck babyfashion na kulia ni mwanadada anaejulikana kwa jina la fatma

 Ant ezekiel akipokea kitanda kama zawad katika kitchen party yake





Hapa akimwaga radhi kwenye tamasha la fiesta