TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, August 31, 2012

XTREME BIKINI PHOTO

 
 



BEN PAUL AKILI WIMBO WAKE WA PETE UMESIKILIZWA SANA KUPITA NYIMBO ZAKE ZOTE

Kupitia Mtandao wake ya Bbm ben paul mkali wa r&b tanzania amekili kwa kusema "
within one week, my new song  'PETE"Imekuwa na downloads na replays nyingi kuliko nyimbo zangu nyingine zooooooote, mpaka nikikupata,number one fan,samboira na maneno zinasubiri kwa downloads na replays.... this is an amazing response!!!! thanx u guys.
Umefikia zaidi ya download  4000 na replays zaidi ya 6000, na bado zinapanda kila dakika. akiongea kuhusu video ya wimbo huo amesema yupo katika mazungumzo na ogopa na adam juma wa visual lab, wakiafikiana itakuwa nairobn na kampun moja wapo kati ya hizo.

MISS TANZANIA 2012 AREJEA NYUMBANI KUTOKA MISS WORLD CHINA

 
Mrembo Lisa Jensen ambaye ni Miss World Tanzania 2012 amerejea jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini China alipokwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Dunia mwaka huu na kupokelewa na viongozi kadhaa wa Kamati ya Miss Tanzania akiwepo Mkurugenzi wa Kino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania Hashim Lundenga (kulia) aliyefika uwanja wa ndege wa JNIA Dar es salaam kumpokea

 
Lisa akila pozi ya picha na mmoja wa warembo waliofika kumpokea Hamisa Hassan. Lisa alifanikiwa kuingia Robo fainali za Top Model na kumi na kumi bora ya Shindano la Multmedia Award 2012


Lisa akizungumza na viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania, kutoka kushoto, Katibu Mkuu, Bosco Majaliwa, Mrembo Amisa Hassan, Mkurugenzi Hashim Lundenga na Ofisa Habari wa Kamati, Haidan Rico

GARI WALILOPATA NALO AJALI SUMA LEE,BABA LEVO NA LINEX

Hili ndio eneo ambalo ajali imetokea eneo la kibonde mkoani kigoma ni eneo la changalawe na lenye kona kona sana,kwa mujibu wa suma lee ambae ndio alikuwa dereva kwenye ajali hiyo.

SUMA LEE, LINEX NA BABA LEVO WAPATA AJALI MBAYA SANA

 Tukio baya sana la ajali limewatokea wasaniiwetu wakati wako njiani kuelekea mkoani kigoma kwenye show, Kwa mujibu wa suma lee ambaye ndio alikuwa dereva katika gari hiyo alisema katika hali ya ghafla lilitokea gari mbele yake kwenye kona kubwa sana ambalo lilikuwa limezidi sana upande wake hivyo akataka kujaribu kulikwepa hapo ndipo gari lao likaingia msituni. Katika kutaka kulirudisha njia yakawaida hapo ndipo gari likapinduka na kubingirikabingirika zaidi ya mara tatu, Kwa bahati nzuri au mbaya hakuumia mtu. Ajali hiyo imetokea katika wilaya ya kibondo karibu kabisa na mji wa kisumu mkoani kigoma ambapo walikuwa wanakwenda huko kwa ajili ya show ambayo ilikuwa ifanyike siku ya jumamosi.Gari walilokuwa wanatumia ndio limearibika sana.
 Hapa mkuu wa wilaya ya kibonde akiwakabitdhi trecta suma lee, linex na baba levo kama usafiri ambao ungewawezesha kufanya safari zao kwa siku hiyo. pamoja na ulinzi ambao unauona kwenye picha hapo juu.
 Linex,suma lee na baba levo baada ya ajali wakiwa hotelin kisumu kigoma
Alichokiandika baba levo katika ukurasa wake wa facebook baada ya ajali ni hiki hapa........


NIMEAMINI MTU KUFA NI DAKIKA CHACHE SANA. kutokana na ajalituliyoipata jana niliona kama kifo kipo kwenye uso wangu. DEREVA ALIKUWA SUMA LEE linex alikaa kiti cha mbele mimi nilikaa kwa nyuma. gari LILIGONGA upandenilikuwa nimekaa mimi. KWAKWELI MUNGU ASHUKULIWE SANA coz sikupata hata mchubuko......
XDEEJAYZ INAWAPA POLE SANA KWA AJALI ILIYOWAKUTA YOTE NI MIPANGP YA MUNGU.

Thursday, August 30, 2012

MISS ILALA TALENT SHOW NI LEO NYUMBANI LOUNGE

 Lile shindano lakukata na shoka la miss ilala talent show linafanyika leo pale nyumbani lounge, kiingilio ni buku 10 tu, Upata nafasi yakumjua mshindi wa talent kabla yakufika siku ya kuona miss ilala yenyewe ambayo itatoa mshindi wa taji ilo. Xdeejayz ikiongea na mmoja wa washiriki wa miss ilala alisema shindano hili ni la talent tu lakini mashindano yenyewe yanakuja hivyo tunawakaribisha sana kuja kuona vipaji mbalimbali pale leo pia kutakuwa na burudani kali na suprise za hatari kutoka kwa lAdy jaydee na gadna karibu sana.
 Warembo wa miss ilala wakiwa na lady jaydee hapo kuna watakaoimba,watakaocheza,anaewinda,kuna madisigner,watangazaji,kuna wanaojinyoosha,na mengi mengineyo yanayohusu vipaji na msanii wa bongo fleva shelta atapiga show live leo.sio pakukosaaaa
Redds miss ilala na bint komando ladyjaydee

MKE WA SHELTA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Mke wa shelta mama kyla akiwa na prod pancho

Kwa lugha za uswahili kwetu mtoto wa kike tunamwitaga kigodoro, kwa mana ya kwamba shelta amepata mtoto wa kike na amempa jina la kyla jana saa kumi na 11 jioni katika hospital ya st monica, shelta anasema amefurahi sana kupata mtoto wa kike japokuwa yeye alitegemea sana kupata mtoto wa kiume.lakini yote kheri amempokea kwa mikono miwili kyla katika familia yake yenye aman na upendo,
 Shelta akiwa na jux
Kushoto baba steve barnaba, katikati baba kyla shelta na kulia baba heri mr blue.

PICHA 17 ZA MUONEKANO MPYA WA PENNIEL MNGAZIJA

                                              Najua unamjua moja kati ya kina dada wenye swaga zakuzaliwa nazo nawala si zakucopy kutokana na mazingira wanayoishi huyu hapa beautiful onyinye,the first lady, wa E master,aliekuwa host wa kipindi kilichowahi kuwa gumzo la jiji cha XTREME LIVE kilichokuwa kinarushwa CHANEL 10 na sasa anakuja na kipindi kinachoitwa ZE 10,katika luninga yako ya DTV.  Huu hapa muonekano wake mpya kabisa katika kichwa chake mtindo huu kaupa jina anauita NGAZIJA STYLE. Unajua kasuka wapi? bei gani? katumia jumla kiasi gani kusuka mtindo huu uliompendeza kweli kweli.Usikose kuangaliaa kipindi cha ZE TEN kinakuja soon dtv.
Hapa akiwa nyumbani kwake
Najua unataman kujua kwenye pochi lake kuna nini?

 heleni zake ni za diamond

 uwa anapenda sana kunywa maji mengi siunaona kilimanjaro pembeni yake
 swaga is on
 pozi tu sina tatizo na mtu
 kiss kwa mbaliiii!!!
 hapa anachat bbm
 hapa akiwaza
 weweeeee
 ofice za emasters
 pozi mbalimbali akiwa kazini
 hapa akiwa oficen
picha tofauti zinazoonyesha mtindo wa ngazija style

Tuesday, August 28, 2012

T.I.D,AUSISHWA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUMUUWA ALI KIBA ,OMMY DIMPOZ NA DIAMOND

 Mchana wa leo msanii maalufu wa bongo fleva khalid mohamed a.k.a t.id amefikishwa kituo cha police kwa tuhuma za kutaka kumuuwa msaniii wa bongo fleva ali kiba.inavyosemakana tuhuma hizo zimefikishwa baada ya kukamatwa mwanadada ambaye alijifanya anampenda ali kiba kimapenzi kumbe sio kweli ana yake moyoni baada ya  moyoni kiliendelea kutupa habari chanzo chetu, msichana huyo alianza kumtaja t,i.d kuwa ndio aliemtuma kwenda kutaka kujaribu kufanya tukio hilo.na chakushangaza zaidi baadae msichana huyo aliwataja wasanii wengine ambao watafata kuuwawa baada ya ali kiba ni Diamond platnam na Ommy dimpoz.  mpaka asubuhi hii t.i.d bado yupo mikononi mwa police akiojiwa zaidi kuhusu tuhuma hizo.
 hapa kiba kama anasema wanataka kunishoo.......t   kwasababu muziki wangu sio bazoka kama wako.
 khalid mohamed a.k.a t.i.d
 Mie sina ugomvi na ali kiba wala nini tangu nizaliwe sijawahi kugombana na ali kiba wala kurushiana nae maneno inakuwaje leo hiii nipate tuhuma hizi? alisema t.i.d hili nimesingiziwa na naomba huyo dada apimwe akili sidhani kama ana akili vizuri.
 diamond akiwa na ommy dimpoz ambao nao walikuwa wafuate baada ya ali kiba kwa mujibu wa chanzo chetu.
.Dimpoz akiwa na ali kibba

HAPPY BIRTHDAY BESSE COOPER! WORLD’S OLDEST LIVING PERSON TURNS 116




  Besse Cooper, the world's oldest living person, marked another milestone today, when she celebrated her 116th birthday.

Besse, from Monroe, Georgia, USA, was first certified as the world's oldest person by Guinness World Records in January 2011.
Senior Consultant of Gerontology for Guinness World Records, Robert Young, presented Besse with an updated Guinness World Records plaque as part of her birthday festivities which took place at her nursing home facility in Monroe, Georgia.
She had to relinquish the title for a few months when it was discovered that Brazilian-born Maria Gomes Valentim was 48 days older. However, when Maria died on June 21, 2011, Besse was reinstated as the world's oldest person and has held that title ever since.
Her birthday was marked with the a ribbon cutting ceremony dedicating a recently completed bridge on New Hope Church Road in her honour.
Born in Tennessee in 1896, Besse moved to Monroe, during World War One in search of work as a teacher.
She married her husband Luther in 1924, and they had four children. Today, she has 12 grandchildren and more than a dozen great-grandchildren and great-great grandchildren.
Speaking at the bridge ceremony, Besse's son, Sidney, said "The older she has gotten the more wittier she has gotten,"
Relaying a message from the honoree he later added, "I'm glad I gave them a reason to name it."
Besse Cooper is among an elite group of eight super centenarians who have lived to the age of 116.
Her secret to longevity?  "I mind my own business," Cooper says. "And I don't eat junk food."

Monday, August 27, 2012

USAUN BOLT ATEMBELEA OLD TRAFFORD

 Mjamaica mwenye mbio kali sana jana alitembelea kiwanja maalufu sana dunia kinachomilikiwa na timu kubwa duniani Man u cha old trafford.