TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, July 31, 2012

                              RAMA D FT MAPACHA maujanja saplayaz ngoma mpya wameiachia hv karibuni       audio imefanyika HOMETOWN REC na video imefanyika  VISUAL LAB Director ADAM JUMA Angalia tv yako sikiliza radio yako utasikia......ngoma inaitwa vuta subira..

X-CORNER@NEW MAISHA CLUB DAR EXTREME TALENT SHOW, ACROBATIC,GYMNASTICS@SUNDAY


Monday, July 30, 2012

X-CORNER@NATIONAL STADIUM MECHI YA YANGA NA AZAM

 muonekano kwa nje wa uwanja wa taifa dar es salaam tanzania
 muonekano wa uwanja wa taifa kwa ndani 
                            Hii inaonyesha jinsi gani wananchi ni wazalendo na wanapenda vya kwao hawa ni mashabiki wa mpira tanzania hii ni siku ya mechi ya Yanga na azam



                       Chief security wa new maisha club dar akipeana mikono na Mh.manji siku ya mechi  uwanjawa taifa



                              Robert meneja wa new maisha club dar akiwa na mtangazaji wa supersport uwanjani




Saturday, July 14, 2012

X-CORNER@NEW MAISHA CLUB DAR PAPA-ZI COVERS PARTY FRIDAY 13TH,O7,2012





                                Dj AD a.ka Mafuvukutoka east africa radio akiwa kwa mashine na dj ommy craz wa new maisha club 

                Michael jackson wa tanzania akipiga show batani maishani usiku wa PAPA-ZI













                          Rydia presenter wakipindi cha Block4teen cha DTV kajiachia kwa redcarpet batanimaishani