Pages

Tuesday, October 2, 2012

ANTI EZEKIER AGAWA ULODA KWENYE STAGE

 Jamaa anajilia uloda kwenye stage

 Kama kawaida yake mambo hadharani

 Hapa akiwa na shilole wakijiandaa kumwaga radhi

Hasa sasa, MIUNO MIUNO, MIUNO MIUNO MIUNO.

Ikionekana kama kawaida sasa ,msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel ambae juzi kati yeye na Mwenzake WEMA Sepetu walimake headlines zakutosha baada picha zao wakiwa wanaonyesha maungo yao ya ndani hadharani,kwenye majukwaa la Fiesta 2012.Awali Aunty naesemekana kuchumbiwa alijitetea kua ni pombe tu ndio zilimtuma kumwaga radhi vile.Sasa wikend hii kwenye moja ya Club za usiku akimpa Kampani msanii mwenzake Shilole aliekua akitumbuiza na kundi lakeShilole Classic,alifanya balaa lingine kwani kama sio upigaji makini wa Cameraman tungekua tunazungumza habari zilezile.Labda pengine ufupi wa jukww nao umechangia kwani kwa nguo aliovaa na jinsi alivyokua akijiachia niwazi story ingeludi kulekule..Sasa apa sijui ata singizia kitu gani tena.

Nathubutu kusema hii imeshakua Tabia zao na hakuna kingine cha kujitetea bali ni ukosefu wa Maadili tu.

Wadau husika wanapaswa walifatilie hili kizazi kinaaribika.

1 comment:

  1. mwache afanye kaamua mwenyewe huwezi jua ana maslahi gani bongo mipango bana

    ReplyDelete