Pages
▼
Friday, September 28, 2012
Thursday, September 27, 2012
BAADA YA DAR, DODOMA NA SASA NI ZAMU YA MOROGORO NA TRIPLE BASH YA XTREME DEEJAYZ
Wale madeejay wakali wanatikisha jiji la dar es salama wa XTREME DEEJAYZ jumamosi hii watakuwa katika club ya ukweli morogoro ya club forstars kwa ajili ya kutoa burudani kwa wakazi wa morogoro.ni ngoma mwanzo mwisho hakuna show ya msanii ni disco tu la dvj. zitapigwa nyimbo za video tu mwanzio mwisho na dvj majay na hyperman hk.kiingilio ni buku 6 tu hii sio yakukosa kabisaa,
Tuesday, September 25, 2012
HUYU NDIO BEYONCE WA TANZANIA
Huyu ndio beyonce wa tanzania kwajina halisi anajulikana kama mwanaisha idd,ana watoto wawili mapacha wa kizungu anaishi msasani,hana simu nawala hajawahi kumiliki simu hapendi kwasababu kila mara anajikuta akipoteza akiwa na simu, pia hajawahi kwenda club yoyote zaidi ya NEW MAISHA CLUB,maisha ndio home hata nikiumwa nakuja kulala hapahapa au kunywa dawa hapahapa sijawahi kukosa new maisha club napaona kama nyumbani,hata baba watoto wangu nilikutana nae new maisha club.alisema beyonce.
Miss triity live na beyonce wa tanzania kwenye stage
Mashabiki wakicheza na miss trinity na beyonce kwenye stage
Miss trinity akiimba huku akimuangalia beyonce wa tanzania
Hapa miss trinit kutoka jamaica akimshangaa beyonce wa tanzania akifanya vitu vyake
.
Sifa kubwa ya beyonce New maisha club, yeye ndio uwa wa kwanza kuingia kwenye stage hata kama club kuna watu wanne yeye uwa wa kwanza kuanzisha disco na style yake kubwa ya kujinyonganyonga kama kinyonga
beyonce akiwa na rais wa dar stamina shelta
Hapa akiwa na dj ommy crayze wa new maisha club
Hapa beyonce akiwa na mchizi wake gilla
gilla and beyonce
NEW MAISHA STARS KUKIPIGA NA MARIDADI FC LEO LEADERS CLUB
Lile chama ambalo linaongoza kwa mechi nyingi za kushinda kuliko kufungwa NEW MAISHA STARS leo inacheza mechi ya kirafiki na maridadi fc katika kujiandaa na kombe la ma club dar es salaam, timu hiyo ambayo ina historia nzuri ya mpira imeshawahi kuifunga timu ya bongo movies 3-1,nakuifunga timu ya Q BAR NA MDAEREVA TAX wa new maisha club.wiki ijayo jumanne itategemea kwenye kupiga mechi ya kirafiki na bagamoyo veterani. timu hiyo ya new maisha stars inayofanya mazoezi yake mikadi beach imejitamba kuifunga maridadi fc leo pale leaders club 4-0.
Kikosi Kizima cha timu yanew maisha stars
Sunday, September 23, 2012
RECHO AFUNGUKA KUHUSU PICHA HII
Jana kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila kona ya mitandao hiyo, huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi na wengine kudai kuwa inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha kwa madhumuni ya kuwachafu wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho kulia na Diamond.
kupitia simu tumefanikiwa kumpata Recho ambae yupo mkoani Iringa kwa ajili ya show ya leo na haya ndio aliyoyasema.
"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehemu to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"alisema recho