Pages

Friday, August 10, 2012

MSANII WHITNESS AKUTANA NA RAPPA T.I NCHINI MAREKANI

Mwanadafata mkali wa stage na miondoko ya hih hop tanzania WHITNES alietokea katika kundi la wakilisha akutana uso kwa uso na mkali wa hih hop marekani T.I nchini marekani hivi karibuni.

1 comment: