Pages

Tuesday, July 31, 2012

                              RAMA D FT MAPACHA maujanja saplayaz ngoma mpya wameiachia hv karibuni       audio imefanyika HOMETOWN REC na video imefanyika  VISUAL LAB Director ADAM JUMA Angalia tv yako sikiliza radio yako utasikia......ngoma inaitwa vuta subira..

Monday, July 30, 2012

X-CORNER@NATIONAL STADIUM MECHI YA YANGA NA AZAM

 muonekano kwa nje wa uwanja wa taifa dar es salaam tanzania
 muonekano wa uwanja wa taifa kwa ndani 
                            Hii inaonyesha jinsi gani wananchi ni wazalendo na wanapenda vya kwao hawa ni mashabiki wa mpira tanzania hii ni siku ya mechi ya Yanga na azam



                       Chief security wa new maisha club dar akipeana mikono na Mh.manji siku ya mechi  uwanjawa taifa



                              Robert meneja wa new maisha club dar akiwa na mtangazaji wa supersport uwanjani




Thursday, July 26, 2012

X-CORNER@NEW MAISHA CLUB USIKU WA FM ACADEMIA 25TH,JULY,2O12




 Kitokololo Rapa mkali wa Fm Academia akirap kwa fujo kuonyesha ukali wake maisha club dar
 RAPPA wa FM academia Anaitwa Totoo kalala mtoto wa hamza kalala 








Monday, July 23, 2012

ANGALIA DTV SASA INA PATIKANA CLEAR BILA CHENGA




Haya sasa kazi kwenu ngugu DTV imeboreshwa kwajili yako,inapatikana kama kioo... itafute kama ulikua huipati hapo zamani.





Saturday, July 14, 2012

X-CORNER@NEW MAISHA CLUB DAR PAPA-ZI COVERS PARTY FRIDAY 13TH,O7,2012





                                Dj AD a.ka Mafuvukutoka east africa radio akiwa kwa mashine na dj ommy craz wa new maisha club 

                Michael jackson wa tanzania akipiga show batani maishani usiku wa PAPA-ZI













                          Rydia presenter wakipindi cha Block4teen cha DTV kajiachia kwa redcarpet batanimaishani